Tunapenda kuwataarifu kuwa Bank ya CRDB imeanzisha mfumo waulipaji wa Ada kupitia Control Number hivyo utapokea ujumbe mfupi (SMS) wenye Jina la Mtoto na kiasi cha kulipa na Control Number utakayotumia kulipia. Unaweza kulipia kwa njia zifuatazo:

 

1. Simu Banking kwa kutumia USSD au SimuBanking App.

2. Wakala wa CRDB.

2. Bank.

   

Payments Through SimBanking USSD/Malipo kupitia SIMBANKING USSD


Step 1. Login to SimBanking USSD/Ingia katika USSD kwa kuweka *150*03#

Step 2. Select "PAY BILLS"/Chagua LIPIA BILI

Step 3. Select "SCHOOL FEES"/Chagua Ada

Step 4. Select " PAY"/Chagua LIPA

Step 5. Select Account/Chagua akaunti

Step 6. Then enter “Invoice number” and confirm details/Weka Namba ya
Muamala na thibitisha taarifa za ankara

Step 7. Enter amount and proceed with payment./Weka Kiasi na endelea na malipo

 

 

Payments Through SimBanking Mobile App/Malipo kupitia Simbanking


Step 1. Login to SimBanking App/Ingia kwenye Simbanking

Step 2. Select "PAYMENTS"/Chagua MALIPO

Step 3. Go to menu "EDUCATION"/Chagua ELIMU

Step 4. Then enter “Invoice number” and confirm details/
Ingiza Namba ya Ankara na thibitisha taarifa
Step 5. Enter amount and proceed with payment/Ingiza kiasi na endelea na malipo